img

Dk. Gwajima: Nataka Wizara ya Afya iwe ya mfano

December 10, 2020

Na Mwandishi wetu, Dodoma Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amewataka viongozi na watumishi wa Wizara hiyo kufanya kazi kwa kuzingatia mabadiliko ya teknolojia ili kuongeza tija ili kuifanya kuwa Wizara ya mfano kiutendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi. Dk. Gwajima ameyasema hayo Jijini Dodoma alipowasili Ofisni,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *