img

VIDEO: Maskini!! Mteule wa Magufuli ashindwa kula kiapo mbele yake

December 9, 2020


Naibu wa Waziri mteule wa Wizara ya Madini Mhe. Francis Kumba Ndulane amejikuta akishindwa kuapa mbele ya Rais Magufuli kwenye hafla ya uapisho wa baraza la Mawziri ilifanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…..USISAHAU KUSUBSCRIBE¬†

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *