img

Ukosefu wa vitamin A katika ufugaji wa kuku

December 9, 2020

 

Ukosefu wa vitamini‘A’ Hujitokeza baada ya kuku kukosa vyakula vyenye vitamin ‘A’ kwa muda mrefu, na katika hili  kuku wadogo ndiyo ambao huathirika zaidi kwa ukosefu wa vitamini ‘A’.

Dalili za ukosefu wa vitamin A.
Macho huvimba na kutoa uchafu mzito kama sabuni ya mche iliyolowana maji.

Hudhoofika na hatimaye hufa.

  Tiba na jinsi ya kuukinga  ugonjwa huu.
Kinga ugonjwa huu kwa kuwapa majani mabichi au mchicha wakati wa kiangazi.

Wape kuku vitamini za kuku za dukani wakati majani hayapatikani.

Kwa kuku alie athirika na ugonjwa huu msafishe na maji ya vuguvugu yenye chumvi kiasi
Hakikisha uchafu wote unatoka  kisha mpe vitamn ya dukani,unaweza tumia amin total au vitamn yeyote ile.

Fanya zoezi hilo kwa siku 5-7.
,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *