img

Tunataka Kongwa ya kijani-DC Kongwa

December 9, 2020

Na Ramadhan Hassan, Kongwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Dk. Selemani Serera amewaongoza wakazi wa Wilaya ya Kongwa kupanda miti zaidi 5000 kandokando ya barabara ya Mbande-Kongwa kwa lengo la kutunza mazingira katika Wilaya hiyo. Akizungumza leo, Desemba 9, jijini Dodoma, wakati wa zoezi hilo, Dk. Serera ambaye alikuwa ameambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *