img

TMA: Joto kuongezeka nchini

December 9, 2020

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa juu ya hali ya ongezeko la joto katika baadhi ya maeneo nchini. Taarifa iliyotolewa jana jijini Dar es Sakaam na TMA, imesema kuwa kwa kawaida kipindi cha miezi ya Oktoba hadi Machi kila mwaka jua la utosi linakuwa katika maeneo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *