img

TFS, Magereza wapanda miti 1,300 kusheherekea uhuru

December 9, 2020

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imeshirikiana na Jeshi la Magereza, wadau wa mazingira pamoja na Miss Tanzania, Rose Manfere wameadhimisha sherehe za Uhuru kwa kupanda miti katika gereza la Wazo Hill jijini Dar es Salaam. Shughuli hiyo imefanyika leo Desemba 9, katika shamba la gereza hilo, ikiongozwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *