img

Sababu zilizopelekea ACT-Wazalendo wabadili msimamo wao na kukubali kujiunga Serikali ya Umoja wa Kitaifa

December 9, 2020

Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ameapishwa kuwa makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar.

Hatua hiyo imefanyika kama sehemu ya makubaliano ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ambayo kwa mara ya kwanza ilianza kufanya kazi baada ya uchaguzi wa 2010.

Shuguli hiyo mbali na kuhudhuriwa na viongozi wa serikali pia walikuwepo viongozi waandamizi wa ACT-Wazalendo akiwamo kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe, katibu mkuu, Ado Shaibu na naibu wake, Nassor Ahmed Mazrui pamoja na makamu mwenyekiti- Zanzibar , Juma Duni Haji.

Zuhura Yunus alizungumza na Maalim, mwanzo akimwuuliza licha ya kutokubaliana na uchaguzi mkuu, kwanini wamebadili msimamo na kukubali kujiunga kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *