img

Rais Magufuli awapunguzia adhabu wafungwa

December 9, 2020

Na Richard Deogratius, Dar es Saaam Rais Dk. John Magufuli, amewapunguzia kifungo wafungwa 256 wa kesi mbalimbali, waliohukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa. Rais Magufuli ameyasema hayo leo Desemba 9, mara baada ya hafla ya kuwaapisha Mawaziri 21 na Manaibu 23 wanaounda Baraza jipya la Mawaziri, ililofanyika Ikulu jijini Dodoma. “Najua katika kipindi cha miaka,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *