img

Ndugai: Msilewe madaraka kwa kuitwa Waziri –

December 9, 2020

Na Faraja Masinde Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka Mawaziri na manaibu walioapishwa leo Desemba 9, kutokulewa sifa ya madaraka na badala yake wakajitahidi kuacha alama. “Ndugu zangu mmepewa madaraka, mkajitahidi sana siku yoyote mkitoka kwenye madaraka haya, muache alama, muache kumbukumbu za kudumu katika mioyo ya Watanzania kwamba mliwahi kupata nafasi hizo. “Wengine mlikuwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *