img

KMC FC kuwafuata Mtibwa Sugar

December 9, 2020

Na Mwandishi Wetu Timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC kesho itaondoka jijini Dar es Salaam kuelekea Mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Ijumaa ya Disemba 11 katika uwanja wa Jamuhuri mkoani humo. Kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, John Simkoko pamoja na msaidizi wake, Habibu Kondo hadi sasa kimefanya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *