img

Kaimu mkurugenzi wa VOA atangaza mabadiliko ya uongozi

December 9, 2020

Elez Biberaj aliyetangazwa kaimu mkurugenzi wa Sauti ya Amerika mwezi June, alituma jumbe wa barua pepe kwa wafanyakazi Jumanne usiku akieleza kwamba muda wake katika nafasi hiyo unamalizika na akimtakia mkurugenzi mpya mafanikio katika kutekeleza malengo ya VOA.

UJSAGM haijatangaza bado nani atachukua nafasi ya Biberaji, lakini kabla ya kutoa ujumbe wake Jumanne usiku, msemaji wa VOA alisema kwamba Biberji ni “kaimu mkurugenzi.”

Vyombo vya habari vya Marekani hata hivyo, vimeripoti kwamba mkurugenzi wa zamani wa VOA Robert Reilly, mwandishi na mwanadiplomasia aliyekua mkurugenzi wa VOA kati ya 2001-2002, ndie ameteuliwa.

Reilly ameshachapisha makala akimunga mono Pack. USAGM imekata kujibu maombi ya barua pepe kuzungumzia juu ya nani atachukua nafasi ya Biberaj.

Mwezi uliyopita haji mmoja wa mahakama ya serikali kuu aliamua kwamba baadhi ya hatua alizochukua Pack kama Mkurugenzi Mtendaji zinakiuka Kifungu cha Kwanza cha haki za waandishi gabarit wa shirika hili.Jaji alimarisha Pack kutoingilia kati kazi za kufuatilia babami za VOA na kusitisha uchunguzi wa

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *