img

JPM: Chapeni kazi, msiogope kufanya maamuzi

December 9, 2020

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amewataka Mawaziri kutoogopa kufanya maamuzi kwa  kuogopa kufanya uamuzi mabaya. Akizungumza leo, Jumatano, Desemba 9, Ikulu Chamwino jijini Dodoma mara baada ya kuwaapisha mawaziri 21 na manaibu waziri 22, Rais Magufuli amesema sasa mawaziri wanatakiwa kufanya maamuzi bila kuogopa kukosea. “Ni vizuri,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *