img

DAWASA yaibuka mshindi wa pili Mamlaka za maji tuzo za NBAA

December 9, 2020

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekuwa mshindi wa pili ya umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) katika kipengele cha Mamlaka za maji. Tuzo hizo zinatolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *