img

Yobele aachia kitu ‘Mahubiri ya Moto’

December 8, 2020

Na CHRISTOPHER MSEKENA MWIMBAJI anayefanya vizuri kwenye Injili, Deogratius Yobele, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea audio ya wimbo wake, Mahubiri ya Moto’ alioachua hivi karibuni. Yobele, amelipasha MTANZANIA kuwa anatamani kila mtu asikilize ujumbe uliopo kwenye wimbo huo hivyo kila mwenye uwezo wa kuingia YouTube na mitandao mingine aitafute ngoma hiyo atabarikiwa. “Tayari nimeachia,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *