img

Virusi vya corona: Ajuza wa miaka 90 awa mtu wa kwanza kupewa chanjo ya corona Uingereza

December 8, 2020

Huu ni dio wakati Margaret Keenan, ambaye atafikisha miaka 91 wiki ijayio, alipokuwa mtu wa kwanza duniani kupewa chanjo ya corona iliyotengezwa na Pfizer/BioNTech nje ya kipindi cha majaribio.Uingereza ni nchi ya kwanza duniani kuanza kutumia chanjo ya Pfizer baada ya mamlaka ya kudhibiti dawa nchini humo kuiidhinsha wiki iliyopita. Ina mpango kuwapa chanjo watu waliyo na miaka Zaidi ya -80 na baadhi ya wahudumu wake wa afya lakini haijathibitisha hilo kwasababu chanjo hiyo inahitaji kuhifadhiwa kwa njia maalum.

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *