img

Utafiti: Waajiriwa wengi hawajiandai kwa maisha yajayo

December 8, 2020

Na Ramadhan Hassan, Dodoma UTAFITI unaonesha kwamba kukosekana kwa maarifa ya kielimu kutoka katika vyanzo vya uhakika na vya kutegemewa kama sekta ya elimu kumesababisha waajiriwa na wanafunzi kutokuwa na utamaduni wa kujipanga kwa ajili ya maisha yao ya baadae. Hayo yameelezwa leo ,Jumanne Desemba 8, mwaka huu, jijini Dodoma na Mtafiti, Dk.Mkumbo Mitula wakati,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *