img

Uingereza yaanza chanjo ya kukabiliana na janga la virusi vya corona

December 8, 2020

Margaret Keenan, mwenye umri wa miaka 90, bibi kutoka Uingereza amekuwa mtu wa kwanza duniani kupata chanjo ya Pfizer, kinga ya Covid-19 baada ya majaribio, yaliyotokana na mfululizo wa uhakiki wa kitabibu. 

asubuhi Keenan ambaye wiki ijayo atatimiza miaka 91 alipatiwa chanjo yake katika hospitali ya Coventry huko katikati ya Uingereza. 

Leo Jumanne Uingereza imeanza zoezi la kutoa chanjo ya Covid-19 iliyotengenezwa kwa ushirikiano wa makampuni ya Pfizer na BioNTech, likiwa taifa la kwanza la Magharibi, kushiriki zoezi hilo kwa umma wa watu wake, katika kile kinachoelezwa uamuzi mkubwa na muhimu wa kukabiliana na janga la virusi vya corona.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *