img

Tanzania na Korea zasaini mkataba wa Sh bilioni 684.6 kusukuma maendeleo

December 8, 2020

Na Ramadhan Hassan, Dodoma Serikali ya Tanzania imesaini mkataba na Serikali ya Jamhuri ya Korea utakaoiwezesha serikali ya Tanzania kupata mikopo yenye masharti nafuu kutoka Mfuko wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Korea (EDCF) wenye thamani ya na Sh bilioni 684.6 kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali. Akizungumza wakati wa utiaji saini wa mkataba huo  leo, Desemba 8,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *