img

MVIWATA watakiwa kutatua changamotoza wakulima

December 8, 2020

Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya ameagiza uongozi wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) kutatua changamoto za upatikanaji wa pembejeo, mbegu bora na mikopo kwa wanachama wake husasan walioko vijijini kwa kushirikiana na wizara. Akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa MVIWATA Mkoa wa Dodoma leo Desemba 8, Kusaya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *