img

Miamba ya Soka Duniani Kuchuana Kwenye Ligi ya Mabingwa.

December 8, 2020

Ni Barcelona dhidi ya Juventus Leo Usiku! Katika kuhitimisha hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa, Kundi G kumalizika kwa Barcelona kuwakaribisha Juventus katika dimba la Camp Nou leo usiku. Hapa Lionel Messi, kule Cristiano Ronaldo. Uhasimu unaanza upya! Licha ya kwamba timu zote 2 zimeshafuzu hatua ya 16 bora kwenye Ligi ya Mabingwa, bado,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *