img

Mfumuko wa bei nchini washuka

December 8, 2020

Na Ramadhan Hassan,Dodoma MFUMUKO wa bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Novemba mwaka 2020 umepungua hadi asilimia 3.0 kutoka asilimia 3.1 kwa mwaka ulioishia mwezi Oktoba mwaka 2020. Hayo yalielezwa leo Jumanne, Desemba 8, mwaka huu, jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Sensa ya watu na Takwimu za jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ruth,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *