img

Maalim Seif: Haukuwa uamuzi rahisi

December 8, 2020

Na Faraja Masinde Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema uamuzi wa kuingia katika Serikali, Baraza la Wawakilishi na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haukuwa uamuzi rahisi na mwepesi. Maalim Seif ameyasema hayo leo Jumanne Desemba 8, kwenye hafla ya kuapishwa kuwa Makamu wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *