img

Kuungua moto nyumba ya Mkurugenzi Meatu, uchunguzi bado

December 8, 2020

Na Derick Milton, Meatu. Tukio la kuungua Moto nyumba ya Mkurugenzi wa Halmashuari ya Wilaya ya Meatu, ambalo lilitokea usiku wa kuamkia Novemba 14, 2020, limeendelea kuchunguzwa na kamati maalumu ambayo iliundwa na Mkuu wa Mkoa. Akiongea leo Desemba 8, mbele ya kikao cha kwanza cha Madiwani ambacho kilikuwa maalumu kwa ajili ya kuwaapisha, Mkurugenzi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *