img

Hospitali ya Israel imesema itaafikira kuanza kutoa chanjo

December 8, 2020

Hospitali inayoongoza nchini Israel imesema itananza kuratibu zoezi la utoaji wa chango ya Pfizer na BionNtech, ikifuata nyayo ya Uingereza ambayo imeanza zoezi hilo leo. 

Lakini kwa upande wa Israel ambapo kuna fikra za hatua kama hiyo ya Uingereza msemaji wa Kituo cha Matibabu cha Tel Aviv aliliambia shirika la habari la Ujerumani DPA kwamba hospitali hiyo imepokea idhini kutoka mkurugenzi mkuu wa wizara ya afya Hezi Levy. 

Hata hivyo wizara ya afya haijaweza kupatikana mara moja kuthibitisha hatua hiyo.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *