img

Corona: Mwanamziki wa R & B Jeremih apata nafuu

December 8, 2020

Mwanamziki wa Marekani mdundo wa RnB Jeremih amesema daima atawashukuru wahudumu na madaktari waliookoa maisha yake baada ya kuugua vibaya virusi vya Covid-19. Nyota huyo sasa anapona nyumbani kufuatia kulazwa wiki kadhaa katika hospitali ya Chicago. Awali iliripotiwa kuwa kwenye mashine ya kumsaidia kupuma, lakini sasa anasema “anazidi kuwa na nguvu kila siku”.

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *