img

Wenye Ualbino watamani kujiajiri

December 7, 2020

Mwandishi Wetu Umoja wa watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) wanaoishi Kigamboni Dar es Salaam wameeleza matamanio yao ya kujiajiri lakini wanakwamishwa na ukosefu wa mtaji. Mwenyekiti wa umoja huo, Kassim Kibwe amebainisha hayo jana wakati wakipokea misaada ya mahitaji mbalimbali ya kibinadamu kutoka kampuni ya kubashiri ya Meridian Bet. Msaada huo wa vyakula mbalimbali,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *