img

Wawili mbaroni kwa kujifanya usalama wa Taifa

December 7, 2020

Na Yohana Paul, Mwanza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu wawili waliokuwa wakijitambulisha kwa watu mbalimbali kuwa wao ni watumishi wa Serikali Idara ya usalama wa taifa kitengo cha Afisa kipenyo. Akitoa taarifa hiyo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro alisema watuhumiwa hao walikamatwa desemba 5 mwaka huu maeneo ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *