img

Wapiga kura Ghana walijitokeza maeneo ya kupiga kura usiku

December 7, 2020

Wapiga kura wa Ghana walianza kupanga foleni ili kushiriki katika zaoezi la kupiga kura kuanzia usiku wa manane katika mji wa kaskazini wa Tamale.

Watu zaidi ya milioni 17 nchini Ghana wanatarajia kupiga kura hii leo kuchagua rais na wabunge wapya.

Picha hizi zinaonesha jinsi watu walivyojiwekea nafasi katika mistari ya kupigia kura kwa kuweka mawe na samani.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *