img

TITOK.O: Kama wewe sio Diamond, Burna Boy wadau wanakupotezea

December 7, 2020

NA CHRISTOPHER MSEKENA MUZIKI hauna mipaka ndio maana tumeendelea kushuhudia vipaji vingi kutoka katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati vikisambaa duniani kote na kuendelea kufanya muziki wenye vionjo vya kiafrika. Swaggaz leo tunakukutanisha na TITOK.O, mwanamuziki kutoka Sydney, Australia ambaye hivi karibuni ameingia kwenye chati za muziki Tanzania kupitia ngoma yake, DEKO aliyomshirikisha,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *