img

Shule Dodoma zatakiwa kuchangamkia fursa ya miche ya miti

December 7, 2020

Na RAMADHAN HASSAN, DODOMA SHULE za Msingi Jijini Dodoma zimetakiwa kuchangamkia fursa ya kupata miche 100 ya miti ya vivuli na matunda  kutoka katika Kikundi cha uhifadhi na utunzaji mazingira cha Chapakazi kwa sharti la kuhakikisha inaota na haifi ili kutunza mazingira. Hatua hiyo imekuja kufuatia kikundi cha Chapakazi hivi karibuni kutangaza kutoa miche 100,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *