img

Passo afunguka Danzak alivyomshika mkono

December 7, 2020

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII anayekuja kwa kasi kwenye Bongo Fleva, Passo Music, amesema hajasainiwa kwenye lebo ya Danzak ila upambanaji wake ulimfutia staa huyo kumsaidia na kufanya wimbo wa pamoja unaoitwa Ipo. Passo a.k.a Mwana Manzese, ameliambia MTANZANIA kuwa alikuwa anawasiliana kwa muda mrefu na Danzak ambaye mbali na muziki ni rubani wa ndege na,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *