img

Mawaziri SADC-TROIKA wajadili upigaji kura kwa wagombea Kamisheni ya AU

December 7, 2020

Na Mwandishi Wetu Mawaziri wa SADC Double Troika wamejadili na kutolea maamuzi mapendekezo ya namna ya kupigia kura kwa wagombea kutoka Kundi la Kusini wanaowania nafasi mbalimbali kwenye Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika katika Mkutano Mkuu wa 34 mwezi Februari, 2021. Majadiliano hayo yamefanyika katika mkutano wa Mawaziri ulifanyika mwishoni,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *