img

Jamii yatakiwa kuwa na mtazamo chanya kwa wenye ulemavu

December 7, 2020

Na Vincent Mpepo, OUT Imeelezwa kuwa watu wanaoishi na ulemavu wana fursa ya kujiingizia kipato na kukuza uchumi binfasi na wa taifa kupitia vipaji vyao ambavyo vinaweza kutumika katika nyanja mbalimbali hususani sekta ya sanaa. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Asasi ya Dhahabu, Dk. Hadija Jilala katika siku ya Tuzo za Dhahabu,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *