img

Jaji Harold Nsekela afariki dunia

December 7, 2020

Faraja Masinde -Dar es Salaam JAJI mstaafu wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania na Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Harold Nsekela amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Jaji Nsekela alifariki jana asubuhi jijini Dodoma baada ya kuugua kwa muda mfupi. Kufuatia msiba huo mzito, Rais Dk. John Magufuli ametuma,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *