img

Trump ashikilia msimamo wake wa kuibiwa kura

December 6, 2020

WASHNGTON, MAREKANI Rais wa Marekani, Donald Trump, amefanya mkutano wa kwanza wa kampeni tangu ashindwe katika uchaguzi wa Novemba 3. Mkutano huu alioufanya kwenye jimbo la Georgia, umekuja siku chache tu kabla ya jimbo hilo kurudia uchaguzi wa Useneta, ambao utaamua nani atakuwa na viti vingi kwenye bunge hilo. Rais mteule, Joe Biden, alikuwa mgombea,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *