img

Trump aamuru vikosi vya Marekani viondolewe Somalia

December 6, 2020

MOGADISHU, SOMALIA RAIS wa Marekani, Donald Trump ameamuru kuondolewa kwa karibu wanajeshi wote wa Marekani kutoka Somalia kufikia Januari 15, idara ya ulinzi nchini humo imesema. Marekani ina wanajeshi wapatao 700 nchini Somalia wanaosaidia vikosi vya wenyeji kupigana na al-Shabab na wanamgambo wa Islamic State. Maafisa wa Marekani walisema kuwa askari wengine watahamia nchi jirani,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *