img

Namungo FC kufuata nyayo za Simba hii leo?

December 6, 2020

Namungo FC wawakilishi wa Tanzania katika michuano Kombe la Shirikisho la Afrika hii leo watakuwa ugenini nyumbani katika dimba la Azam Complex Chamazi kucheza mechi ya marudio ya kombe hili dhidi ya Al Rabita. 

Namungo wataingia katika mchezo huu wakiwa wametanguliza mguu mmoja hatua inayofuata kwani wana hazina ya magoli 3 – 0 waliyopata katika mechi ya kwanza. 

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *