img

Membe aomba msamaha CCM, atangaza kuondoka ACT Wazalendo januari 2021

December 6, 2020

 Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT Wazalendo na na Mshauri Mkuu wa Chama hicho, Bernard Membe amethibitisha kuwa ni kweli ana panga kujiondoa ACT na amesisitiza kuwa atajiondoa rasmi ACT January Mosi, 2021, Waziri huyo wa zamani wa Mambo ya Nje alijiunga na ACT baada ya kufukuzwa uanachama CCM.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *