img

Mama akutwa na kuku sehemu za siri Kigoma, Mganga Mkuu athibitisha

December 6, 2020

Na Mwandishi Wetu Mwanamke mmoja Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma, amejifungua kuku katika kituo cha Afya Uvinza baada ya kufika kituoni hapo akidai anapata maumivu ya tumbo. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Dk. Simon Chacha amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema tukio hilo limetokea leo asubuhi Jumapili Desemba 6, 2020 baada ya mama huyo kufika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *