img

Kenyatta ayajia juu mataifa ya nje

December 6, 2020

NAIROBI, KENYA RAIS Uhuru Kenyatta amefungua rasmi kongamano la magavana kujadili mikakati ya kuboresha uchumi jijini Nairobi. Katika hotuba yake, Rais Uhuru Kenyatta ametupia kidole cha lawama nchi za nje juu ya kile alichosema ni kujaribu kuingilia na kuelekeza Kenya namna ya kuendesha shughuli zake. Kiongozi huyo wa nchi amesema, Kenya inashukuru uungwaji mkono na,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *