img

Askofu Kinyunyu: Hubirini neno la Mungu na si kinyume…

December 6, 2020

Na RAMADHAN HASSAN, DODOMA ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania  (KKKT) Dayosisi ya Dodoma, Amon Kinyunyu amewataka wachungaji kuhubiri neno la Mungu na kuachana na mambo ambayo hayampendezi Mungu. Akizungumza leo, Desemba 6,jijini hapa  wakati wa ibada ya kuwasimika wachungaji watano wa kanisa hilo ambayo ilienda sambamba kuwasimika Naibu Katibu Mkuu anaeshughulikia fedha katika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *