img

Simba ‘Tik Taka’ kwa mkapa leo

December 5, 2020

 

Wekundu wa msimbazi Simba Leo Disemba 5, wanashuka dimbani kucheza Mchezo wa Marudiano wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Dhidi ya Plateau United

Mchezo utapigwa Saa 11:00 jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa 

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *