img

NBA waondoa kipimo cha bangi kwa wachezaji mpira wa kikapu

December 5, 2020

 Baada ya UN kuondoa bangi kutoka kwenye orodha ya madawa ya kulevya na kuutambua mmea huo kama tiba, NBA nao wameondoa kipimo cha bangi kwa wachezaji mpira wa kikapu.

Kwa mujibu wa ESPN, Mike Bass ambaye ndiye msemaji wa NBA, Jana Ijumaa ameeleza kuwa, “We have agreed with the NBPA to suspend testing for marijuana for the 2020-21 season and focus on other testing programs”

Sanjali na hilo, Msimu mpya wa ligi ya Kikapu Marekani (NBA) unatarajia kuanza Desemba 22, huku msimu mzima ukiwa na jumla ya michezo 72.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *