img

Mchekeshaji Chikumbalaga Sukariyao naye ana ‘Bodyguard’ wake

December 5, 2020

 

Mchekeshaji anayefanya vizuri kwa sasa kwenye mitandao, maarufu kwa jina la Chikumbalaga Sukariyao ametoa kali ya mwaka baada ya kuanza kutembea na ‘bodyguard’ wake mtaani kama wanavyofanya baadhi ya wasanii.

Mchekashaji Chikumbalaga ambaye anatokea Tunduma Mkoani Songwe, ameweza kutrend mitandaoni baada ya kushea picha hizo akiwa na bodyguard wake kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Aidha, Chikumbalanga amepata umaarufu kwa njia ya wasanii kumtumia kwenye upande wa kuchekesha pale anaposhea video na audio akizisapoti kwa kucheza au kuimba nyimbo za wasanii hao kisha kupost mitandaoni.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *