img

CHANGAMKIA: VIWANJA VINAUZWA BEI YA KUTUPWA, VIWNJA VIPO DAR VIKINDU

December 5, 2020

 

Basi Ondoa shaka SUYUTWI LINK TANZANIA, Tumeandaa mradi mkubwa wa wanne(4) wenye wenye viwanja zaidi ya 300, Mradi wetu upo Vikindu mjini, mkoa wa Pwani.

Mradi wetu upo kilometa moja (1) kutoka barabara kubwa(kilwa road).

HUDUMA ZA KIJAMII.

Huduma zote za kijamii zinapatikana kama vile.

1.Maji Tayari yapo ndani ya mradi wetu

2.Shule za serikalini na za binafsi(ibnu jazzary) zote zipo karibu na mradi wetu

3.Hospitali za serikali na za binafsi zipo karibu na mradi wetu

4.Umeme upo tayari ndani ya mradi ni kuwasha tu na kutumia.

5.Barabara zinapitika masaa 24 bila shida yoyo te

6.Sehemu za ibada zipo karibu na mradi.

UKUBWA WA VIWANJA.

1.Sqm 208(40futi & 50futi) bei yake 2,500,000/= Milioni mbili na laki TANO, Hichi ni ukubwa wa kiwanja kimoja. 

2.Sqm 416 (40futi & 100futi) bei yake 5,000,000/= Milioni Tano, Hichi ni ukubwa viwanja viwili (2)

3.Sqm 832(80futi & 100futi) bei yake 10,000,000/= milioni kumi. Hichi ni ukubwa wa Viwanja vinne(4).

HABARI NJEMA NI KWAMBA UNAWEZA KULIPA KWA AWAMU MBILI.

MAUZIANO.

Mauziano yote hufanyika ofisi za serikali ya mtaa/kijiji pamoja na kupata HATI ya mauziano ya AWALI kama utalipa CASH na kama utatoa Nusu Utapewa mkataba Yetu Tunayo Tayari. MTEJA wetu hato changia asilimia yoyote kwenye mauziano, asilimia 10% ya kijiji tunatoa sisi wauzaji. 

Habari njema Hakuna UDALALI kwenye biashara hii. 

MAWASILIANO.

Tupigie Simu 0654 77 39 67 WhatsApp au 0687 83 04 05

MUDA WA KAZI.

Tunapatikana kila siku

Kuanzia asubuhi saa 3 asubuhi hadi saa 10 jioni kila siku.

MITANDAO YA KIJAMII.

Utatupata kupitia mitandao ya kijamii kama (Facebook, Instagram, Twitter, YouTube) kwa jina moja @suyutwilinktanzania

Bonyeza hapa👇

https://youtu.be/Gjgv-lvluJs

MAZINGATIO.

Hakikisha umekuja kupitia namba zangu hapo juu, Lakini pia wahusika tupo wazi kwa kuonekana sura zetu kwenye mitandao ya kijamii picha zetu.

KARIBU UTIMIZE NDOTO ZAKO ZA KUMILIKI ARDHI KUPITIA SUYUTWI LINK TANZANIA.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *