img

“VIFO VYA MAMA WAJAWAZITO HAVIVUMILIKI TENA” – MGANGA MKUU WA SERIKALI

December 4, 2020

Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi amesema kuwa Serikali haitovumia tena vifo vya akina mama wajawazito vinavyosababishwa na uzembe wa watumishi kazini. Prof. Makubi ametoa kauli hiyo alipokuwa akifunga kikao kazi cha timu ya uongozi wa afya ya Mkoa wa Mwanza kilichofanyika Wilayani Misungwi kujadili vifo vitokanavyo na uzazi na watoto wachanga.“vifo vya akina,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *