img

TRA: Mfumo mbovu unawanyima wamiliki wa mabasi mapato

December 4, 2020

Na Koku David, Dar es Salaam Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dk. Edwin Mhede amesema utafiti unaonyesha Sh milioni 67 hupotea kwa siku ambapo ni sawa na Sh bilioni 24.4 kwa mwaka katika mabasi 4,500. Akizungumza hivi karibuni jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kikao cha mafunzo kuhusu mfumo wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *