img

Tanzania yapongezwa mapambano ya Ukimwi, juhudi zaidi zahitajika

December 4, 2020

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Tanzania imepongezwa kwa hatua ambazo zimefikiwa katika kukabiliana na janga la virusi vya ukimwi. Hayo yalisemwa juzi na Balozi wa Marekani nchini, Dk. Donald Wright katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duninia yalitofanyika Desemba mosi, Moshi mkoani Kilimanjaro. Alisema kumekuwa na mafanikio makubwa nchini katika kukabiliana na virusi vya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *