img

Ni Super Sunday Ndani ya EPL– London Derby kuchezwa katika dimba la Tottenham Hotspurs Stadium.

December 4, 2020

Tottenham Hotspurs uso kwa uso na Arsenal Jumapili Hii Ni muendelezo wa London Derbykatika EPL kwa wiki mbili mfululizo. Baada ya derby ya kwanza kuchezwa Jumapili iliyopita ambapo Chelsea walitoka sare na Tottenham, jumapili hii ni zamu ya Arsenal kuwafata Tottenham. Arsenal bado wanataabika na matokeo mabovu kwenye EPL wakiwa wameshinda mchezo 1 kati ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *