img

Neymar amtaka Lionel Messi kuchezea Paris St-Germain.Inawezekana?

December 4, 2020

Neymar amezua taharuki baada ya kusema kuwa anataka kucheza na Lionel Messi tena msimu ujao, muda mfupi baada ya kuisaidia Paris St-Germain kushinda 3-1 Ligi ya Mabingwa dhidi ya Manchester United. Hii ni baada ya rais wa Barcelona kusema kuwa wangemuuza Messi wakti wa majira ya joto.

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *